9/21/2019

Bright "Mahaba Nitakayo Mpa Vanessa Mdee Atatulia Mwenyewe..Niombeeni"

Nyota kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, Bright ameamua kuweka wazi hisia zake kuwa analihitaji penzi la Mwanadada Vanessa na ameahidi kulipa hivi karibuni.

Akiwa kwenye moja ya interview yake hivi karibuni amesema

"Vanessa Mdee 'Vee Money' ni msichana mzuri naamini kila Mwanaume ambaye ni rijali ni lazima atavutiwe kimapenzi na Vee Money"

Aidha msanii huyo amefunguka zaidi jambo la kumpata Vanessa Mdee linaweza likawa hivi karibuni amewataka watu waombe uzima na kwa mahaba ambayo atampa atamtuliza mwenyewe.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger