9/21/2019

Fatma KARUME Ashimamishwa Uwakili...Afunguka Haya Makubwa Kwa Uchungu -VIDEO


Leo Septemba 20, 2019 Mahakama Kuu ya Tanzania imemvua uwakili kwa muda Fatmah Karume kutokana na kuandika mambo yasiyofaa katika kesi iliyofunguliwa na Katibu Mwenezi wa Act WAZALENDO, Ado Shaibu dhidi ya Rais John Magufuli kupinga kumteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa sasa kwa sababu hana sifa ya kuteuliwa.

VIDEO:
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

  1. Anastahili huyumkosefu wa Adabu.
    asiye taka kukanyika hata na Wazazi.

    Karibu mtaani tupike mbatata za Urojo.

    ReplyDelete

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger