9/20/2019

"Kwasasa Natamani Sana Kuolewa Niishi Maisha ya ndoa"- Hamisa MobettoLakini ikumbukwe Hamisa Mobeto siku za nyuma aliwahi kusema Hana mpango wa kuolewa na kijana wa kitanzania Bali mipango yake ni kuolewa na mzungu

Awali alisema yeye anataka labda mwanaume mzungu au mtu mzima, awe alishawahi kuachwa au mgane kwa hiyo ndio hivyo, na kusema kijana kwake hapana.

Hamisa Anataka mtu wa kumuoa awe angalau miaka 45 kwa sababu yeye mwenyewe ana watoto sasa ukisema kijana yeye mwenyewe bado anakua atawezaje kulea watoto wake?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger