Mchungaji Mwenye Wake 3 Kortini na Wake Zake


MCHUNGAJI wa Kanisa la The Hill Lord, David Chiliuza ( 33) mwenye wake watatu anayekabiliwa na mashtaka mawili yeye na wake zake wawili tayari amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusubiri kesi inayomkabili.Mchungaji huyo alifikishwa mahakamani hapo wiki iliyopita akikabiliwa na mashtaka mawili; moja likiwa la kuishi nchini bila kibali linalomkabili yeye na wake zake ambapo wake zake walikiri shitaka hilo huku akikana na kukiri shitaka lake la pili la kufanya shughuli za kanisa bila kuwa na kibali cha kuishi nchini.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA APP YA UDAKU SPECIAL BONYEZA HAPA  

Loading...

Mchungaji Mwenye Wake 3 Kortini na Wake Zake Mchungaji Mwenye Wake 3 Kortini na Wake Zake Reviewed by Udaku Special on September 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.