9/10/2019

Nape Aingia kwa Miguu Ikulu Kuomba Asamehewe “Sina Amani, Nakosa Usingizi” (Video)“Kwa hiyo baada ya kupata fursa nimekuja nimemuona, mle ambamo nilimkosea kama Baba yangu nimeongea nae na Baba amenielewa, ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri ambao nitaufanyia kazi” Nape

“Naamini baada ya hapa mambo yatakwenda vizuri, kwa kweli kwa dhati ya moyo wangu nimshukuru sana sana, amenipa fursa kubwa, ndefu na ameongea maneno mengi kwangu na ushauri wake nimeuchukua”  Nape Nnauy


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

1 comment:

 1. Nape wewe ni kijana mdogo.....
  Kama utakumbuka maneno yangu nilikwambia Uchunge mdomo wako na Angalia wanao kuzunguka.

  Na naarudia tena Kuwa n Heshma na Adabu.

  Maneno mengi na Urafiki mwingi mwisho ni
  Hasara. Leo Baba Magu kaonesha Utu na Ustaarabu kwa alichokifanya kwako na wewe sasa ni Kumuonesha Ubinadamu kama alivyokuwa
  marehemu Moses Nnauye. Muulize Sefu Shariff na Cleopa Msuya utajua Utiifu wa Marehemu tuliishi nae Maridadi.

  Fanya kazi na uchape kazi Malumbano mwachie Msaliti na wewe sio katika hao watafuta kiki. jirudi na Urudi sisi kwa sasa tunakuangalia na Ujitathmini mwenyewe. Nadhani unanielewe na tukionana nitakwambia tena na Tena. Tunakupenda na tuna hisani na utu wa mzee wako.

  ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger