Ni Kweli Wanawake Wamewazidi Wanaume Kwa Mambo Haya 10?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10.Tupia Nyingine Unayodhani Nimeisahau...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbuka hata kwenye wanawake wasiojipenda na wachafu wapo, pia ukumbuke kuwa asilimia kubwa ya wanawake hawana mapenzi ya dhati, unaweza ukapendwa kwa sababu ya uwezo wako wa kifedha lakini siku ukifilisika ndipo utakapogundua ulikuwa haupendwi.

    ReplyDelete

Top Post Ad