9/15/2019

Nimefanya Mapenzi na Shemeji Yangu Kwa Bahati Mbaya...Naombe Ushauri

Kutoka Kwa Mdau,

Naombeni ushauri wa hali na mali katika hili , Siku kadhaa zilizopita hapa nyumbani kwetu tulifanya sherehe ya birthday ya mtoto wetu kutimiza miaka mitano tuliwaalika ndugu wengi hapa home kwa ajili ya sherehe hiyo, Mgeni mmoja wapo ni mdogo wa mume wangu ambae alikuwa ametoka mkoani so alifikia kwetu, sasa siku ya birthday katika sherehe hiyo tulikunywa sana kila mtu akawa safi mume wangu pombe zilimzidi ilipofika saa sita usiku akaniaga anaenda kulala, mimi nikabaki na baadhi ya ndugu tunakunywa.

Ilipofika saa saba nami nikajikokota kwenda kulala, nikaingia chumbani nikajitupa kitandani bila kuwasha taa mme wangu alinipokea kwa mahaba tukabinjuka, baada ya kumaliza kiu kikanisha nikaamka niende kunywa maji ile kuwasha taa nikakuta kumbe nilikosea chumba na niliye fanya nae mapenzi ni mdogo wa mume wangu nae alizania nimemtunuku mambo basi hakufanya ajizi akanipa dozi ya uhakika...Hichi kitu kinanisumbua akilini sana mpaka naona sina raha je nimweleze mume wangu kilichotokea ili nipate amani ama nitaharibu zaidi?
TAZAMA WIMBO MPYA WA ROSA REE

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

3 comments:

  1. ASA kime haribika nn usi jilaumu yy kafanya mapenz na pombe sio wewe, ikiwezekana mpetena

    ReplyDelete
  2. unamwambia nn ,,,,mpe tena shemeji

    ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger