P.Didy Adaiwa Kumpachika MIMBA Mpenzi Wake Ambae ni EX wa Mtoto Wake


Tetesi za Uhusiano wa Mkongwe Sean “Diddy” Combs, 49 na Mrembo wa Miaka 22, Lori Harvey zimechukua sura mpya na sasa zimeibuka tetesi kuwa wawili hao wanategemea mtoto baada ya kupigwa picha wakiwa mapumziko huko Cabo, Mexico.

Kwenye picha inayosambaa mtandaoni inamuonesha Lori akiwa ameshika tumbo lake kama vile anaonesha ujauzito na Kuna picha nyingine tena ambayo inamuonesha Diddy akiwa amelishika tumbo la Lori , picha hizo zimeibua comment mbalimbali za mashabiki wakidai kuwa huo ni uthibitisho wa kuwa Diddy anategemea mtoto pamoja na Lori, Mpenzi wa zamani wa mtoto wake Justin Combs.

Hatahivyo mbali ya watu wengi kutopendezwa na huu uhusiano, wazazi wa Lori wanaweza wakawa wameupitisha, Mwezi uliopita Diddy aliungana na Familia ya Lori Harvey pamoja na kukutana na wazazi wake wakati wapo Mapumzikoni Nchini Italy.

TAZAMA WIMBO MPYA WA ROSA REEHABARI HIZI ZINAPATIKANA APP YA UDAKU SPECIAL BONYEZA HAPA  

Loading...

P.Didy Adaiwa Kumpachika MIMBA Mpenzi Wake Ambae ni EX wa Mtoto Wake P.Didy Adaiwa Kumpachika MIMBA Mpenzi Wake Ambae ni EX wa Mtoto Wake Reviewed by Udaku Special on September 12, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.