google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Tunda akana Kumwagana Na Whozu | UDAKU SPECIAL

Tunda akana Kumwagana Na Whozu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

VIDEO Vixen Bongo, Ana Kimario ‘Tunda’ amesema anashangaa kuona watu wakimnanga kwenye mitandao ya kijamii kuwa ameachana na mpenzi wake wa sasa Whozu wakati si kweli.

Akizungumza na Amani, Tunda alisema Wabongo siku zote wamekuwa na mawazo hasi tu badala ya kuwawazia mazuri.

“Nashangaa watu wanasema kuwa mimi nimeachana na Whozu, yaani wanapenda kuniombea mabaya tu, siku nyingine wawe wananiombea heri basi. Sasa niwapashe tu, sijaachana na Whozu na sitarajii kuachana naye, watasubiri sana kwa hili,” alisema Tunda.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad