9/11/2019

Wolper: Uzuri Ungekuwa Sura Ningeshaolewa

STAA wa filamu Bongo,Jacquline Wolper ameamua kutoa la moyoni na kusema kuwa kama uzuri ndiyo ungekuwa ni sura na kumfanya mtu  aolewe basi hata yeye tayari angekuwa mke wa mtu.

 Akipiga papaso na Za Motomoto ya Risasi, Wolper alisema kuwa wasichana wengi wazuri wanajiona ndiyo wamemaliza na kusahau uzuri ni tabia.

“Unakuta msichana mrembo sana lakini amechina nyumbani kwa sababu hana sifa za kuwa mke wa mtu kwa hiyo wasichana warembo wajikague tena tusije tukazeeka pekee yetu,” alisema Wolper
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

 1. Mie .. wewe kiwacha Gambe.
  Mie.. nakuja na ntakuweka ndani.
  Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

  Shopping Ulaya. gari Lamborghini.
  Suti na gauni LV.

  Badilika na Jitathmini.

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger