10/02/2019

"Aliyekutoa Bikra ndiye aliyecheza na USICHANA wako" wengine Hatuhuusiki kabisa.

Wanawake sikilizeni kuna kitabia mnacho ambacho binafsi huwa kinatukera sana sisi wanaume. Wanawake nataka niwambie ukweli utakuta mmekwaruzana na demu/mpenzi wako afu anakwambia "NILIJUA TU UTAKUJA KUNIACHA NA KUCHEZEA USICHANA WANGU" Kina dada Aliyekuharibia usichana wako ni Mwanaume aliyekutoa BIKRA kisha akauacha huyo ndo mpe hzo lawama me niliyekukuta huna Bikra usinipe hzo lawama hta kama nakuacha kiroho safi kuwa Mpole, mpe hzo lawama aliyekutoa bikra akauacha. Sijakukuta na Bikra afu useme nmechezea Ubinti wako shenzi kabisa.

Wanaume ukiona mwanamke anakwambia hvo, Mwambie aliyeharibu usichana wako aliyekutoa bikra akauacha me hata..
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger