Fahamu Historia ya Siku ya Mtoto wa Afrika...Baada ya Makaburu Kuwauwa Watoto Kama Njugu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


FAHAMU Leo Juni 16 ni siku ya Mtoto wa Afrika.
Historia ya siku hii ilianza mwaka 1991 baada ya Umoja wa Afrika kuamua kuitangaza siku hii kwa ajili ya kuenzi watoto wa mji wa Soweto nchini Afrika Kusini waliouawa na askari wa Kikaburu mwaka 1976, waliokuwa wakiandamana wakipinga vitendo vya unyanyasaji na ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendelea, na pia kuhamasisha dunia kupinga vitendo vya kikatili kwa watoto.

Askari hao waliwafyatulia risasi na kuua watoto zaidi ya 170 na kujeruhi mamia wengine.

Tukio hili lilishtua dunia nzima na mpaka sasa limebaki kama kielelezo cha matukio mabaya yaliyotakana na ubaguzi wa rangi barani Afrika.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Pichani ni mtoto Hector Pieterson (13) ambaye ni miongoni mwa watoto waliouawa na askari wa Kikaburu, akiwa amebebwa na mwanafunzi mwenzake Mbuyisa Makhubo, pembeni akiwa na dada yake Antoinette ambaye mpaka sasa bado yuko hai
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad