10/07/2019

Maungo Yangu Yananipa Tabu Sana, Natongozwa Kila Kukicha


Mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa ila ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, na hiyo ni kwa ajili ya umbo langu kiuno nyingi ila nina tako balaa na miguu mizuri, tena wanakuja kwa njia za pesa na magari lakini namuheshimu mume wangu sitoe mwanya hata kidogo japo ilinifanya nikafukuzwa hata kazi niliyokuwa nimeajiriwa baada ya kumkataa bosi
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

  1. Ni vizuri kuheshimu ndoa yako maana ukianza kugawa uroda utatafunwa kila siku na mwisho wa siku utaambukizwa magonjwa ya zinaa. Hongera kwa kuwa na msimamo, usimsaliti mumeo.

    ReplyDelete

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger