10/07/2019

Meninah Aibu Yake! Video Yake Chafu Yavuja


NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na U-MC Bongo, Menina Attick ‘Meninah’ kuvuja mitandaoni.Baada ya video hiyo inayomuonesha Meninah akifanya mambo ya chumbani na mwanaume ambaye amefichwa sura kuwa gumzo, Gazeti la Ijumaa Wikienda lilimtafuta ambapo alisema kuwa amechezewa mchezo mchafu hivyo anamuachia Mungu.Mwandishi: Habari yako Meninah?

Meninah: Salama tu, naongea na nani mwenzangu?

Mwandishi: Mimi ni mwandishi wa Global Publishers (Gazeti la Ijumaa Wikienda).

Menina: Niambie…Mwandishi: Kuna video tumetumiwa hapa ofisini kwetu na inasambaa mitandaoni, unaonekana upo kama ulivyozaliwa kitandani na mwanaume mkivunja amri ya sita, kinyume na taratibu za nchi zinavyotaka, una lipi la kuongea?Meninah: Kwanza siyo video, ni picha tu, watu ‘wamei-screen shot’ na kuanza kuisambaza mitandaoni. Mimi sina la kusema zaidi ya kumwachia Mungu kwa sababu naamini ni watu wachache ambao wameamua kuisambaza hiyo picha ili wanichafue.Mwandishi: Ohh! Wewe umeona picha, lakini kuna video kabisa inayokuonesha wewe. Sasa ukiwa kama kioo cha jamii umechukua hatua gani?

Meninah: Siwezi kuchukua hatua yoyote ile, ninamuachia Mungu maana naona watu walizamiria tu kuniumiza.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

 1. KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

  NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
  (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
  MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE.
  JINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI. NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

  (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
  1. uwe una umri wa miaka 18+
  2. uwe tayari kupokea masharti yote
  3.uwe na uwezo wa kutunza siri
  4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
  KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger