10/09/2019

Mke Wa T.I Ameibiwa Vitu Vya Thamani Ya Bilioni 1.7


MKE wa rapa T.I, Tameka Tiny Harris wikiendi hii ameibiwa vitu vyenye thamani ya bilioni 172 Pete ya ndoa, saa na heleni  ni vitu ambavyo mwanamke huyo ameibiwa ndani ya gari yake.
~
Mke wa T.I aliwaambia polisi kuwa, wizi huo ulitokea wakati yeye na rafiki yake walipokuwa wakipata kinywaji kwenye Baa moja mjini Atlanta, ambapo alirudi kwenye gari yake na kukuta vitu hivyo havipo.


Polisi wamedai hapakuwa na ishara yeyote ya gari ya mwanamma huyo kuvunjwa, lakini Tameka alisisitiza kupotelewa na begi iliyokuwa na vitu hivyo akiwa maeneo hayo
~
Upelelezi wa kumgundua mwizi unaendelea wakati ambao Tiny amegoma kuongea na mapaparazi juu ya ishu hiyo ambayo imeonekana kukosa ushahidi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger