google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mwanajeshi Ajiua Baada ya Kumfumania Mkewe Akibanjuka na Njemba Ingine | UDAKU SPECIAL

Mwanajeshi Ajiua Baada ya Kumfumania Mkewe Akibanjuka na Njemba Ingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Pichani mwanajeshi huyo wa Marekani, Prince Yeboah(29) ameripotiwa kujiua baada ya kumfumania mkewe akibanjuka na njemba nyingine.

Prince amejiua tarehe 11 September 2019 . Jamaa huyo ambaye kwao ni nchini Ghana imeelezwa kuwa hata miaka miwili bado haijakatika tangu alipoenda Ghana kumchukua mkewe huyo na watoto wao watatu ili waende waishi Marekani Baada ya kupata kazi hiyo ya jeshi la Marekani, lakini ndio Kama hivyo ameshindwa kuhimili fukuto la kusalitiwa moyoni mwake na kuamua kunyofoa uhai wake !

Prince Yeboah 29-Year-Old Man Commits Suicide After Catching His Wife Who He Suffered To Bring Abroad Sleeping With Another Man

According to a report, he found his wife in bed with another man after he struggled to let her joined him in the United States from Ghana two years ago.

Sometimes the tragedy that befalls men is because of the women they love. There are countless incidents of men taking their lives due to what the love of their lives did to them.

One of such case is the sad incident reported to have happened to a 29-year-old man known as Prince Yeboah Wiredu who has reportedly killed himself after his wife made a fool out of him.

A poster of the man which has surfaced online notes he died a week ago, on 11th September 2019.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad