Njoo Ufahamu Mavazi Unayotakiwa Kuyavaa Ukiwa Chumbani na Mwenza Wako Ambayo Yatasaidia Kupandisha Hisia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Njoo Ufahamu Mavazi Unayotakiwa Kuyavaa Ukiwa Chumbani na Mwenza Wako Ambayo Yatasaidia Kupandisha Hisia
Najua leo  ni siku ya mapumziko kwa watu wengi na ni siku ambayo familia inatulia nyumbani na ndo wakati mzuri kwa wapenzi kuwa karibu na kujiachia leo tuongee kuhusu mavazi gani ya kuvaa ukiwa na mwenzi wako chumbani.

Mapenzi ni hisia,na hisia hizo huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadhi ya walio kwenye uhusiano huwalalamikia sana wenzi wao na sababu kuu huwa ni kutokuwa na hamu ya kufanya nao tendo la ndoa.Hapa nitazungumzia mavazi yanayopaswa kuvaliwa chumbani hasa mnapokuwa wawili tu yaani mke na mume..

Mwanaume siku zote huwa na hisia za haraka sana hasa ukimjulia,lakini baadhi ya wanawake huwa wanashindwa kuzijua haraka mbinu za kumpandisha mzuka mumewe hata kama amechoka au ana hasira kwa siku hiyo...

Ndugu yangu uchawi rahisi kwa mumeo ni kumvalia nguo nyepesi na yenye kuonyesha maumbile yako kamili,hii inaweza kuwa gauni nyepesi inayoonyesha maumbile yako ama siku hizi kuna mitandio milaini ambayo pia unaweza kuivaa pindi unapokuwa na mwenzi wako,ikumbukwe pia wanaume wengi hupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kwa kukosa hisia za kufanya tendo hilo lakini wanawake ni dawa nzuri ya tatizo hilo ikiwa ataweza kumuhamasisha mumewe kwa njia mbalimbali ikiwemo ya vazi ambalo litamfanya mzee asisimke..

Ntakushangaa utaposhangaa mumeo hana hamu na wewe kwakuwa muda wote wamvalia madera ukikaa utafute anayekuroga utajipotezea muda mchawi ni wewe mwenyewe ambaye unashindwa kujiongeza ata mnapokuwa chumbani wawili.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad