Soudy Brown na Kwissa wa Shilawadu Kuna nn au wana BIFU ?


Mtangazaji wa kipindi cha Shilawadu, Kwissa amefunguka kuzungumzia tetesi ambazo zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amegombana na mtangazaji mwenzake wa kipindi hicho, Soudy Brown baada ya wawili hao kwa siku za hivi karibuni kuonekana kila mmoja anafanya kazi binafsi tofauti na awali.Hayo ameyejiri machana wa leo katika ofisi za Kwissa, wakati akizindua mashindano ya Miss Shilawadu bila mtangazaji mwenzake, Soudy Brown.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL >BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIALLoading...

Soudy Brown na Kwissa wa Shilawadu Kuna nn au wana BIFU ? Soudy Brown na Kwissa wa Shilawadu Kuna nn au wana BIFU ? Reviewed by Udaku Special on October 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.