Ticker

6/recent/ticker-posts

Tabia ya Mwanamke Asiyewajibika Kitandani na Kusababisha Kukimbiwa na Mwanaume

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA


Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao

*Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
*Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
*Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa
*Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..
*Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna... anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati......
*Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk
Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni

Post a Comment

8 Comments

 1. yep, tel diem bhana, wana kera knouma noumah

  ReplyDelete
 2. Ukiona mwanamke hataki kuwajibika ujue mwanaume ana kasoro. Maana kama anampa kitu atakacho bac bila shaka watakuwa wanakukuruka pamoja kila inapobidi.

  ReplyDelete
 3. ukipiga trigo anashutuka

  ReplyDelete
 4. acha kupiga tigo wewe ni dhambi kubwa sana mbele za Muumba. Hata hivyo wanaume wengine hawajui kabisa jinsi ya kumpapasa mpenzi wake yeye anataka tu kumfanya aende zake baada ya nyege zake kuisha sio poa lazima usome mpenzi wako anatakaje ili umpandishie vizr na yeye atakupa vizr sana

  ReplyDelete
 5. Sasa kama humridhishi unategemea a "fake it" ??????

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)