10/12/2019

Wahaya Wengi ni Wasomi Lakini Kagera ni Maskini Kwanini?


Moja kati ya kabila ambalo kwenye upande wa kupiga kitabu wapo vizuri basi Wahaya ni namba moja, ukienda kila taasisi kubwa au makampuni makubwa hawa ndugu zetu huwezi kuwakosa, kama maprofessor, madokta ma maengeneer wa kumwaga tu, hata makampuni ya nnje wapo wengi tu wameajiriwa huko

Hawa elimu yao huwa sio ya kukariri yani ukimkuta Mhaya kapiga kitabu basi jua ameiva kweli kweli, lakini kinachonishangaza ni kwa nini pamoja na wengi kuwa na elimu kubwa bado wameshindwa kukomboa nyumbani kutoka kwenye umaskini?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger