Wawili Wafariki Baada ya Daraja Kuvunjika 

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watu wawili wamefariki baada ya kutumbukia mtoni wakati wakipita katika daraja linalounganisha Kata ya Tembela na Mwakibete lililovunjika kutokana na mvua kubwa kunyesha - Diwani wa Tembela, Anderson Ngao amesema watu wanne walisombwa na maji baada ya daraja hilo kuvunjika wakati wakipita, wawili hawajulikani walipo, akiwemo mtoto anayekadiriwa kuwa na mwaka mmoja - Amesema "Mtu mmoja aliyenusurika ndio shahidi wetu kwamba walisombwa na maji watu wanne, maiti moja tuliipata jana na nyingine tumeipata leo asubuhi.” - Afisa Mtendaji Kata ya Tembela, Lington Mfwango amesema daraja hilo limevunjika kwa mara ya pili na kwamba mara ya kwanza halikuleta madhara
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad