Loading...

10/04/2019

Waziri Jafo "Hakuna Sheria Inayompa Mamlaka RC Kumchapa Mwanafunzi yoyote"

Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jafo amesema hakuna kanuni/sheria inayompa mamlaka RC kumchapa mwanafunzi yoyote yule viboko kwani mwongozo wa uendeshaji wa elimu umetoa utaratibu wa adhabu kwa wanafunzi,Jafo amesema bado anasubiri taarifa ya RC wa Mbeya kuhusu tukio hilo
Loading...
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger