google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Rosa Ree na Awilo Longomba Katika NYIMBO Moja....Nini Kitatokea? | UDAKU SPECIAL

Rosa Ree na Awilo Longomba Katika NYIMBO Moja....Nini Kitatokea?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Inavyoonekana Kuna kitu kinaendelea kati ya Msanii Awilo Longomba na Rapper Rosa Ree Baada ya Leo Wote Wawili katika page zao kupost picha wakiwa Pamoja....Bado hajajulikana ni wapi wamekutana au nini wanatarajia kufanya....lakini tumemcheki Rosa Ree Leo Amesema tusubiri tusiwe na haraka yupo katika kuandaaa vitu vizuri kwa ajili ya mashabiki wake

Unadhani ni Nini kitatokea hapo kati ya Rosa Ree na Awilo Longomba kama wakiamua kufanya ngoja ya pamoja?


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad