11/20/2019

Alichokisema Lema baada ya Meya wa CHADEMA Arusha kutimkia CCM


Baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Ndg. Humphrey Polepole Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM. Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ametoa neno.

Lema amesema kuwa ni baraka kubwa kwa Chadema Meya huyo kuondoka kwenye CCM huku akidai kuwa bado rafiki yake mmoja.

"Wakati Yesu Kristo anataseka msalabani Wayahudi walikuwa wanapiga kelele wakisema amekwisha,amekwisha..lakini yeye alisema Imekwisha," ameandika Lema kwenye ukurasa wake wa Twitter.

"Wanafikiri tumekwisha na kumbe Imeisha. Ni baraka kubwa  kwa Chadema Mayor wa Arusha Mjini Kalist Lazaro kwenda CCM,bado rafiki yake mmoja."
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

4 comments:

 1. Godilesi, usijisemeshe tena huko nchini twita. Salam zako kwa Mrisho nilizifikisha ila akaniambia CCM hawato kupokea. na wewe hata ukasemma ni rafiki wa Kalista unafuata baada yake...HAWAKUTAKI WW RASTA ULIE POTEZA DILA NA MWELEKEO. HAWAKUCHUKUI LABDA LAISI WA NCHINI TWITA AKUPPE UANACHAMA
  CHAMANI KWAKE UWE WA PILI BAADA YAKE YY. TWITA OYYEEE... GUDILESI WOYEEEE.

  ReplyDelete
 2. Godilesi, usijisemeshe tena huko nchini twita. Salam zako kwa Mrisho nilizifikisha ila akaniambia CCM hawato kupokea. na wewe hata ukasemma ni rafiki wa Kalista unafuata baada yake...HAWAKUTAKI WW RASTA ULIE POTEZA DILA NA MWELEKEO. HAWAKUCHUKUI LABDA LAISI WA NCHINI TWITA AKUPPE UANACHAMA
  CHAMANI KWAKE UWE WA PILI BAADA YAKE YY. TWITA OYYEEE... GUDILESI WOYEEEE.

  ReplyDelete
 3. Vyuma vinakatika huku. Anza kujitafutia mradi wa kufuga njiwa.. INALIPA BRO.

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger