11/08/2019

Breaking News: Ali Kiba Awaita Waandishi wa Habari Kutoa Tamko Rasmi


Ameandika haya kupitia page yake ya Instagram:

"Ndugu zangu wanahabari kutoka media zote, ningependa kuwaalika rasmi katika mkutano wangu nanyi leo saa 12 jioni katika hotel ya Ramada Encore iliyopo Posta Mpya. Karibuni tuzungumze. 
#TamkoRasmi
#AlikibaUnforgettble
#KingKiba"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger