Jumia Yafunga BIASHARA Tanzania Baada ya Kusimamisha Shughuli Zake Cameroon

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtandao wa biashara Barani Afrika umefunga biashara yake nchini Tanzani ikiwa ni siku chache tu baada ya kusitisha shughuli zake nchini Cameroon

Kulingana na taarifa iliyopatikana imeeleza kuwa Jumia imefunga shughuli zake nchini Tanzania ili kuwekeza rasilimali katika masoko mengine

Taarifa hiyo inasomeka: "Kwa kuzingatia mapitio yetu kwenye njia ya mafanikio, tumefanya uamuzi mgumu wa kusitisha shughuli zetu nchini Tanzania kuanzia Novemba 27, 2019"

Aidha, imesema itaendelea kutumia mtandao wake wa ''Jumia Deals'' katika kuendelea kuwasaidia maelfu ya wafanyabiashara ambao wanautumia kukutana na wanunuzi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad