Kajala yupo tayari kuuza kila kitu, kisa Paula

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja amesema kuwa atamsomesha mtoto wake, Paula Paul hadi mwenyewe aseme basi na hata kama akiishiwa hela, yupo tayari kuuza kila kitu ilimradi bintiye huyo asome.  Akizungumza na Amani, Kajala alisema, kitu ambacho anakizingatia kwa mtoto wake huyo ni kusoma bila kuchoka kwa sababu yeye hakusoma ipasavyo.

“Unajua ukiwa hujapata fursa ya kusoma ipasavyo, unapokuwa mkubwa ndiyo unagundua maana halisi ya kusoma. Sasa kwa vile mimi sijasoma kivile, napigana mtoto wangu asome kwa namna yoyote, hata vitu vyangu vya ndani nitauza,” alisema Kajala bila kutaja elimu yake
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad