Kwa Hili Nitawachukia Wanawake Milele. Na Sitowasamehe.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naandika nikiwa na kilio cha jitimai na majonzi yasiyoisha milele.

Mwezi desemba mwaka jana nimefunga ndoa na mke wangu.

Lakini tangu tufunge ndoa nikawa na mashaka na mwenendo wa mke wangu.

Wiki mbili zilizopita nilipata jambo la ajabu. Mke wangu kaniambukiza ugonjwa wa ngono. Nilipomuuliza akadai kuwa hajui amepataje.

Nikimweleza twende hospitali anakataa. Nimeenda nikatibiwa na naendelea na tiba.

Juzi usiku nikiwa nataka kupata ukweli nikaja nyumbani na kumwomba tuongee chumbani. Nikatumia mbinu ya kijeshi nikatoa bastola yangu ambayo hajawahi kuiona hata siku moja na nikaanza kumsaili.

Mke wangu akanitajia orodha ya wanaume aliotembea nao ktk kipindi hichi cha ndoa ya miezi 5 inatisha. Katembea na wanaume sita tofauti.

Nilijikuta napoteza nguvu na fahamu. Nilipozinduka mke wangu kadai tutengane kwani dhambi aliyonitendea haipaswi kumsamehe.

Kila baada ya kama masaa 3 napoteza fahamu. Ndugu zangu hawana taarifa. Lakini ndugu na wazazi wa mwanamke wanajua kinachoendelea.

Ni ngumu kuamini ktk hali ya kawaida lakini najikuta kila akija mwanamke akija kunijulia hali nataka kuzimia tu na napata hasira.

Sitofika kupenda tena na nawachukia wanawake hata mama yangu mzazi aliyenizaa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unapaswa kupima na ukimwi na pia kutengana naye kwani lazima yeye tu?

    ReplyDelete
  2. unapaswa kupima na ukimwi na pia kutengana naye kwani lazima yeye tu?

    ReplyDelete
  3. Kwanza Naanza Na Pole KWA Mtihani Uliokukuta Maana Ni Moja Ya Changamoto Za Maisha Ila Tambua Sio Kila Mwanamke Anatabia Kama Ya Mkeo Ila Kuna Baadhi ya Wanawake Wapo Hivyo Ila Kinachotakiwa Ni kupiga moyo konde na kuwa na subra utampata tu mwana mke mwenye sifa unazo ziitaji.

    ReplyDelete

Top Post Ad