Lema akamatwa na Polisi kwa amri ya DC Sabaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jeshi la Polisi wilayani Hai tayari limemkamata mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema saa chache baada ya kumkamata mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai, Helga Mchomvu.

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya amethibitisha kukamatwa kwa kukamatwa kwa viongozi hao wawili.

DC Sabaya amedai kiini cha kuagiza viongozi hao wakamatwe ni kutokana na kile alichokiita kuendeleza njama zao za kuvuruga amani katika wilaya hiyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad