Magari 10 yanayonunuliwa sana na Watanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukweli ni kwamba tunaelekea kuufunga mwaka 2019 na time kama hii tunakaribia kukutana na hesabu nyingi za kufunga na kujiandaa kwa mwaka unaofata, sasa wakati ukiwaza bajeti ya mwakani pengine na mipango ijayo ni muhimu kujua wenzako wengi wamepitia wapi.
Watanzania wengi kwa mwaka huu inaonekana wamechagua gari ambalo halitumii sana mafuta, gharama yake kwenye kulitunza ikiwemo service ni ndogo lakini jingine muhimu ni kwamba linahimili shida za barabara mbovu, hii hapa chini ni orodha ya magari 10 yanayochaguliwa na kununuliwa kwa wingi na Watanzania
10.  Subaru forester
9. Subaru impreza
8. Toyota Raum
  7. Toyota Ractis
 6. Toyota Corolla spacio
 5. Toyota Premio
 4. Toyota Alphard
3. Toyota Harrier
 2. Toyota Crown
1. Toyota IST
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad