Rais Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais John Magufuli muda ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Rais Magufuli ametunukiwa Shahada hiyo wakati wa mahafali ya Kumi ya UDOM, ambapo yeye alikuwa ni mgeni rasmi.

Mahafali hayo yanahudhuriwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai pamoja na Viongozi Wastaafu.

Picha chini: Rais Magufuli akipongezwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa .

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad