Rihanna kuachia album yake Desemba 2019, Universal music wamethibitisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni Headlines za staa wa marekani wa kike aitwae Rihanna ambae time hii anatarajiwa rasmi kuachia album mpya itakayoingia sokoni mwezi Desemba 2019.

Taarifa hizo zimethibitishwa na mmoja ya wafanyakazi wa kampuni ya Universal Music ambayo itahusika kwenye kuisambaza Album hiyo mpya iliyosubiriwa kwa hamu na mashabiki duniani kote.

Hapo Awali Rihanna aliwahi kuzungumza juu ya ujio huo wa album yake ila hakuweka wazi kuwa ni  mwezi gani itaachiwa yaani wakati gani itaingia sokoni.

Hapa chini nimekuwekea tweet ya mmoja ya wafanyakazi kutoka Universal Music ambae ameyaandika maneno yanayoashiria ujio wa album hiyo mwezi desemba 2019.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad