Shamsa: Afunguka ya Moyoni "Gabo ananipatia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MREMBO kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anapenda kuigiza na mwigizaji Ahmed Salim ‘Gabo Zigamba’ kwa sababu ni msanii anayempatia pindi wanapokuwa kwenye ‘sini’.

Akizungumza na gazeti hili, Shamsa alisema Gabo ni miongoni mwa wasanii wa kiume Bongo anaowakubali kwa sababu huwa anamfanya na yeye afanye jambo zuri zaidi pindi wanapokuwa wanashuti muvi.

“Huwa nikiambiwa nitashiriki kwenye muvi fulani ambayo na Gabo atakuwepo, nafurahi sana kwa sababu ni mtu anayejua kuvaa uhusika anapokuwa mbele ya kamera. Yaani ni mtu ambaye hata nikiwa sina mudi ya kuigiza muda huo, atahakikisha naipata na tunatoa kazi nzuri,” alisema Shamsa.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad