SONGWE:Mvua Yajeruhi na Kuharibu Mamia ya Nyumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi jioni imesababisha uharibifu wa nyumba zaidi ya 360 katika Wilaya za Mbozi na Momba na kujeruhi watoto wawili

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amesema hayo jana huku akiziagiza Halmashauri husika kurejesha miundombinu ya Serikali iliyoharibika

Amesema, “Kuna wananchi wamepata madhara lakini wametibiwa na kurejea nyumbani, nawapongeza sana viongozi na majirani ambao waliwahi kutoa msaada kwa wahanga."

Aidha, amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari kwakuwa mvua za Mkoani humo ni nyingi hivyo waimarishe makazi yao pia watoe taarifa mapema endapo utatokea uharibifu wowote
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad