Video ya Ngono ya Sanchi Yavuja Mwenyewe Avunja Ukimya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


KUFUATIA sintofahamu iliyoibuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu video za utupu zinazodhaniwa kuwa ni za mrembo Sanchoka, bidada huyo ameamua kuvunja ukimya na kuanika kila kitu.



Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Sanchi ameandika: Sikutaka hata kuaddress hili jambo lkn nimeona linakua kwa kasi sana. Let me say this clearly hizo video mnazotumiana huko whatsapp SIO MIMI. Jamani msinifananishe na shepu za kawaida mnanikosea.



Yani sijaumbwa hivyo. Take your time kuchunguza utajua tu. Wala hutotumia nguvu nyingi kujua hizo video sio mimi. Details kidogo tu.



Kuna video nimeona mdada amelala kwny jacuzzi jamani hiyo sio shape yangu. Hiyo shape ni ndogo mnooo. Mimi ningelala ivo ingekua hatari ningesambaa sana manake nimejazia zaidi. Jacuzzi zenyewe huwa sitoshei nakaa kiupande. Rangi yake pia sio kama yangu. Na maziwa yangu yamejaa zaidi sio kama hayo.



Kuna video ya kujimanua mimi sina mguu njiti vile 😤 huo mguu wa toothpick na hayo manyama nyama kiunoni mimi nayatoa wapi? Katako kenyewe kadogoo 😅 Katika maisha yangu Mwenyezi Mungu shahidi sijawahi kurekodi video eti nijichanue ivo mtegemee siku mtaiona hadharani HAKUNA.

Bado yajayo yanafurahisha. Siterereki wala sitoyumbishwa. Kwa wanaojifariji kusema ni mimi Darlings am sorry to disappoint you it ain’t me. Nimepost hili kwa ajili ya watu ninaowapenda wasijekuamini uongo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad