11/08/2019

Wazee CHADEMA “CCM wanaiogopa CHADEMA asilimia mia”

Baraza la Wazee CHADEMA wameeleza sababu za Chama chao kujitoa kwenye uchaguzi mdogo uliopanga kufanyika November 24 mwaka huu, ‘‘Sisi kama CHADEMA tumeona tuseme kuwa tumejitoa lakini tumetolewa, Sisi tumefarijika sana CCM wangeruhusu uchaguzi ufanyike wasingeshinda kabisa, CCM wanaiogopa CHADEMA kwa asilimia 100”.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger