11/16/2019

Wema Sepetu APATA Hofu ya Kuzidi Kukonda...Aambiwa Aongeze Kilo TatuTANZANIA sweetheart, Wema Isaac Sepetu amesema ameshauriwa kuongeza kilo tatu kwenye mwili wake kufuatia kuzidi kukondeana. Akizungumza na Shusha Pumzi wakati akimkabidhi duka shosti wake, Aunt Ezekiel kama zawadi ya bethdei anayotarajia kuisherehekea kesho, Wema alisema;

“Niliamua kujipunguza mwili, lakini sasa imekuwa ni kinyume na malengo niliyojiwekea maana nimepungua zaidi, hivyo nimeshauriwa kuongeza kilo tatu ili nilinde afya yangu. “Hivi tunavyoongea nina mzani nyumbani ambao nimekuwa nikiutumia kuangalia uzito na kuendelea kuongeza mwili.”
GPL
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger