12/09/2019

Diamond Arusha Vijembe “Busta Nimewapa Na Wanachi Wamegoma Kutoa Buku Tatu”Inaokeana kama msanii na mkurugenzi mtendaji wa Wasafi Naseeb Abdul (Diamond Platinumz) amerusha dongo kwa waandaji wa show ya Fiesta iliyofanyika jijini Dar es salaam jana

Kauli ya Diamond kwenye mtandao wa Instagram imewashtua wengi na kuanza kutoa maoni tofauti juu ya kauli hiyo

Diamond ameandika
“Majukwaa yakijaa yanaletaga Mizuka ya Show jamani….Hasa Camera ikizungushwa kama Alivyofanya @lukambaofficial hapo….Sasa wewe @ricardomomo yanini Kung’ang’ania Ndoo ya lita 20 wakati uwezo wako ni kujaza kidumu cha Lita tano….Matokeo yake unaanza piga video na picha za Upande upande….. Dah! mie sina cha kukusaidia tena, maana Busta nilikupa na bei ukashusha, ila naona mnh! wananchi wamegoma Mwenzangu” 

Huku akiwa ameposti kipande cha video ya show yake ya hivi karibuni ya nchini Sierra Leone
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

2 comments:

  1. Roho inamuuma sana, hakutegemea kama Fiesta watajaza kuliko walivyo fikiria. Wanajiona wao Mungu mtu kwa kumtumia yule bwabwa lokole awatukane. hawashangai hata Lemutuz kawageuka

    ReplyDelete
  2. kakaa kama demu, kurusha rusha vijembe, yaani hana hata nuru usoni, na vile viandunje 2. vinazidi kummaliza bila kujijua. endelea na ndumba za kigoma, na hiyo wasafi siyo yake ni ya Kusaga, aache kujishauwa. stupid...

    ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger