12/02/2019

Msanii Nahreel Alia na Watanzania Kwa Kumchukulia DIAMOND Poa...Amtolea Mfano Mbwana Samatta na Mwakinyo

Nareel atoa ya moyoni Kuhusu Diamond Platnumz Kujaza Uwanja Huku Sierra Leone

Ameandika haya:

"INGEKUA NI MSANII AMBAE SIO MTANZANIA HAPO, UNGESIKIA WASANII WABONGO MNAKWAMA WAPI? ILA KAFANYA @diamondplatnumz BASI ITS A DIFFERENT STORY, JUZI MWAKINYO (BOXER) KASHINDA TUNASEMA KABEBWA, @samagoal77 ASIPOIFUNGIA TAIFA MNASEMA SIO MZALENDO, WATANZANIA SISI SIJUI NI WATU WA AINA GANI, NDIO MAANA HATA JUZI KILICHOTOKEA KWENYE TAMASHA LA MSANII WA NJE WASANII WA NDANI TUKANYAMAZA #TUJIVUNIE " Nahreel


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger