12/09/2019

Diva Loveness Atoa Mpya "Harmonize Ndio Msanii Anayelipwa PESA Nyingi Afrika na yeye na Sarah Ndio Couple Tajiri"

Diva Loveness Malinzi aibuka kudai Harmonize ndie msanii wa Tanzania anayelipwa Pesa nyingi zaidi Africa mashariki huku akidai Harmo na Sarah ndio couple tajiri zaidi Africa !

"Naandika Kiswahili ili tuelewane, easy tu sio ugomvi and hell no, Im not in payola list just Objectivity hun n i follow ethics n details just respect the Conglamorate, , ni hivi nimesema Harmonize na Mkewe Sarah ndio Couple Tajiri zaidi africa, no stunts jus facts on factual ... Kwa Tanzania Mwanamuziki Harmonize inasemekana ndio The Highest Paid Artist In Tanzania and East Africa yan kumuita katika show unamlipa $60,000 ndio hela watakiwa Mlipa kwa show his net worth is very high cant even number any mana mkono unatingishika !. hizo collabo zake uaambiwa spending on spending on , bling bling je ??? they both own Almost $1B ambazo sio mkopo wa bank ๐Ÿ˜‚ Hands Up to The Hard working Kweli in life never give up !. n i love the fact that anashukuru alipotoka na ana heshimu kila mtu .. nasikia kuna wanakosa usingizi huko, guys .. come on now sleep , ikno ts hard jus try to sleep ๐Ÿ˜‚ DON’T overwork yourselves replying to me i can urgue with the entire village" ameandika Diva
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger