12/05/2019

Diva Loveness Amshukia Diamond Kwa Maneno ya Shombo..."Unaiga iga Tu Utabaki Kuwa English Learner tu"


Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Mrembo Diva Loveness Amefunguka Mengi Kuhusu mtu aliyemtaja kama Mr Misifa...Ambapo wajuzi wa mambo tumetoa code na kujua anayezungumziwa ni Diamond

Fuatilia hapa chini kilichoandikwa:


"Dear Mr.Misifa ... Caption zangu tu Kateseka sana yeye familia ukoo yan kapaniki hahahaha , anatoa maneno back to back Nasema Hivi Na Bawdow ukianza shombo unapewa shombo this is scientific fact .. utasubiri saaaanaaaa yan levels babyyy ..nani ajifunze toka kwako for what? whats new ? mbona ni we bin there done that .. copy cat .. yan you copyyyy n paste afu all you do is ongelea wenzio na shughuli zao zisizokuhusu ila zinakutesaaa afu daily vijembe kama mwali wa kimakonde .. we pambana na hali yako .. it's a eat or be eaten society we living in, you scratch my back i sratch yours. usitake kuji mwamba fy for nada .. show ya mtungo exposed ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nasema Mi nta deal na Wewe yan mimi tu Peke yangu Mtu Moja tu Mwanamke wa shoka anaejua how to teach a lesson , ntakufunza kuheshimu ulipotoka na kuheshimu wakubwa zako yan a , e, i, o, malizia ๐Ÿ˜ƒ.. tumekulea wenyewe tumekufunza wenyewe yan umeigaiga unaigaiga weee umepita mulemule na bawdow utateseka sana na baby diaper zako yan unaweweseka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ... utabak kuwa English Learner tu bro zis zat sory Mr English Learner .. ila sifa hizi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ let help ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ jus go google dumb af , funny af .. thats who you r dear skeleton , dude funny af, but dealing with female lion is whack sometimes but anyways jus this i swear cnt stand the skeleton ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚-)) yan mi mmoja tu nakunyoosha kama basi ya Mkaa ... Tulia dogo tushakutoa sana makamasi .. tutaelewana tu ๐Ÿ˜Š Matusi Ruksa, Panic Ruksa like i said this is it !. sory you mad bro ikno inaumaa na inachoma kama pasiiii Confidence is silent insecurities are Loud why all the noise then haha kaa humo , why all the noise? like come on chilllllll n enjoy the ride haha, by the way 500 , 2000,3000 mlo wa Mtanzania wa kawaida thats a real life situation n reading on GDP on a higher rates ... n stop actin like you don kno ndio iliokulisha na kukukuza usijisahaulishe mwanetu heshimu wazazi wako usitukane wakunga ungali uzazi ungalipo yan nakumbuka mdogo wangu nakutawaza enzi zile yan umetumalizia sana toilet paper ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ but let me drown with you into ya stupidity atleast abit wazazi wako busy hawana time na wewe wala huwasumbui hawakuwazi wala hilooo .. hawajakumic ila dada ako apa ntakunyoosha ... 08 ✌️"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger