12/02/2019

Producer Magix Enga aliyeifuta UNO Youtube Akamatwa na polisi, Je Sababu ni UNO ya Harmonize – Video


Video ikimuonesha Producer kutoka Kenya Magix Enga aliyeifuta UNO ya @harmonize_tz Youtube na baadae kuirudisha tena akikamatwa na polisi jijini Nairobi

Kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo ingawa haijafahamika sababu ya kukamatwa kwake ila ikisemekana kuwa sababu zilizopelekea kukamatwa kwake ni kuufuta wimbo wa UNO wa @harmonize_tz kwenye akaunti ya Youtube ya Harmonie.


Kupita video ambayo inamuonyesha akiongea Magix Enga amesikika akisema kuwa “Mnanikamatia nini mazee, kama vi Uno ya Harmonize mbona iko Yotube tayari.” lakini watu hao walikuwa wakijitambulisha kuwa “sisi ni maafisa wa polisi”


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger