12/14/2019

French Montana Azungumza kwa Mara ya Kwanza Tangu Atoke Chumba cha Wagonjwa Mahututi

French Montana amezungumza kwa mara ya kwanza tangu atoke chumba cha wagonjwa mahututi ambapo alilazwa kwa wiki kadhaa kutokana na tatizo la Kiafya.

Sasa jana kwenye mahojiano Exclusive na DJ Akademics, Montana mwenye asili ya Morocco amesema anakumbuka alikula kitu kibaya alipokuja Afrika. Katika matembezi yake ndani ya nchi 4 za Afrika hakujizuia kula chochote kwani watu wengi anafahamiana nao.

Aliporudi Marekani aliangusha tena party kubwa la siku yake ya kuzaliwa, na pindi aliporejea nyumbani tu hali ilibadilika na kuanza kuona 'mazonge' baadaye alijikuta yupo chumba cha wagonjwa mahututi
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger