IRENE Uwoya Afunguka Sababu ya Kugharamia Wasanii Kwenda Tanga Kumsomea Kisomo Marehemu Sharo Milionea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Alipoulizwa sababu ya kuandaa kisomo maalum kumuombea Sharo Milionea na gharama zote kuzibeba yeye ikiwemo kusafirisha wasanii kwenda Tanga, Irene Uwoya amejibu

“Enzi za uhai wa Sharo nilikuwa hata sina ukaribu naye, lakini kwa vile alikuwa msanii mzuri, nikaona siyo vyema kabisa kusahaulika kirahisi namna hiyo, ndiyo maana nikafanya mawasiliano na mama yake. Tukamkumbuka kwa kumfanyia dua nyumbani kwao Tanga,” Uwoya  
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad