JE Kuna Mbinu za Kudhibiti Chuma Ulete Kwenye Biashara?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanachama wa JamiiForums anasimulia kuwa alianza kufanya biashara maeneo ya Kimara Jijini Dar es Salaam na baada ya muda aliihamishia biashara yake Mkoani Mtwara

Anasema kuwa, biashara ni nzuri sana Mtwara na anapata fedha nyingi sana lakini tatizo ni kupotea kwa fedha hizo katika mazingira ya kutatanisha 'Chuma Ulete'

Anahoji afanye nini ili kuudhibiti upotevu huo wa fedha au 'Chuma Ulete'
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad