Juma Jux Avurugwa na Kumjibu Mimi Mars "Mapenzi sio Mashindano"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkali wa muziki wa RnB Juma Jux, amemjibu Mimi Mars kwa kumwambia mapenzi sio mashindano, baada ya msanii huyo wa kike kusema dada yake Vanessa Mdee amempata mtu wa level zake ambaye ni muigizaji wa filamu aitwaye Rotimi.

Jux amesema hivyo kupitia EATV & EA Radio Digital, ambapo ameeleza kuwa mapenzi sio mashindano na mtu unatakiwa kufanya kutokea moyoni. "Sijui kwanini amesema hivyo ila kama ni yeye ameona hivyo sawa siwezi kukataa, kwanza muda huo sina pili mimi nina maisha mengine, pia ninaheshimu mawazo yake hata kama anaona hivyo lakini ninachoweza kusema kwenye maisha ya mapenzi hakunaga mashindano"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad