12/13/2019

KIMENUKA..Waliotumia Hizi Condoms Watakiwa Waenda Wakapime

Waziri wa Afya nchini Uganda Sarah Opendi amewaomba watu waliotumia mipira ya kondomu kutoka kampuni ya ‘’Life Guard’’ ambayo iligundulika kuwa na tatizo mwezi uliopita kupima magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya ngono.

“Wale waliotumia mipira ya kondomu kutoka kampuni ya Life Guard katika kipindi cha mwezi Aprili hadi Oktoba wakapime magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya ngono.’’ Amesema bi Opendi.

Bachi mbili ambazo ni sawa na mipira ya kondomu milioni mbili kutoka kampuni hiyo zilizosambazwa na shirika la kutoa misaada ndizo zilizoathirika.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger