12/02/2019

Nimeamua Kutembea Kimapenzi na Binti wa Kazi, Sina Jinsi...

Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka.

Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vichocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba.

Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti akasema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe.

Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?

Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

5 comments:

 1. Dah, bro unahisi kama uko sahihi ila bado una wakati mgum coz huyo binti wa kazi itafika mahali ataanza kiburi cha ajabu apo lazima wife ajue mchezo coz atadharauliwa na mke mwenza,,,,,bora tu mweleze mkeo kuwa unachonifanyia ni sawa na kunipa ruhusa ya kwenda huko nje maana siezi ishi mwezi bila hyo ki2 wife wangu. atakuelewa 2 achana na huyo binti.......................NI MTIZAMO WANGU TU LAKINI

  ReplyDelete
 2. Na huyo mfanyakazi umpe mahitaji yake muhimu ya kimsaada wa maisha, kwa kuwa unamega tunda kama kwa mkeo, Alafu na akipata mimba usimkatae mtoto nae ni binadam, ametafutwa kwa njia ile ile kama wengine na wala usimnyanyase mama yake pia, mpe heshima yake. wewe ndio ulieanzisha usiano kama kwa mke vile na hapo hivyo hivyo

  ReplyDelete
 3. Usiridhike na hilo mchunguze sana mkeo usikute naye anamlizia haja zake nje ya ndoa maana mjini hapa vishawishi vingi. Please usibweteke na huyo Beki Tatu kumbe usikute mkeo alishaanza kutoka na viserengeti boyz muda mrefu ndo akifika home anakuzingua tu. Watch out

  ReplyDelete
 4. Uko sahihi ila inabidi uwe nahuyo binti wa ndani huku ukisuruhisha matatizo ya tendo la ndoa na mkewe! usiridhike sana ndugu yangu na hako kabinti hao wanawake ni vigeugeu kuwa mjanja achana nae kjanja asje kuona wvu pnd mtakapo achana kama mambo yatakuja kuwa mazuri kwa mkeo.

  ReplyDelete
 5. Kuna jambo juu ya mkeo jaribu kuchunguza taratibu na kwa makini, ninauhakika utapata jibu

  ReplyDelete

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger