R Kelly Aongezewa Shitaka Lingine..Adaiwa Kuhonga ili Kupata Kitambulisho FEKI Cha Aaliyah ili Kumuoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

AMKENI AMKENI AMKENI... R. Kelly amerudi tena kwenye headlines! Nguli huyo wa muziki duniani ameshtakiwa kwa madai ya kuwahi kutoa hongo kwa mtumishi wa Serikali na kujipatia Kitambulisho feki cha Aaliyah.

Kitambulisho hicho kilimuonesha marehemu Aaliyah ana umri wa miaka 18, na kilitumika katika kupata Leseni ya ndoa na hatimaye kufunga ndoa na R. Kelly mwaka 1994.

Demetrius Smith ambaye ni
moja kati ya meneja wa zamani wa R. Kelly alikaririwa kupitia filamu ya "Surviving R. Kelly" akisema Aaliyah alikuwa ana umri wa miaka 15 wakati huo.

Waendesha mashtaka wanasema kujipatia huko Kitambulisho Feki kunahusishwa na Rushwa, na shtaka hilo limeongezwa kwenye mashtaka yake kibao ya Unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wadogo ya mjini New York.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad