TANZIA: Kiungo Mahiri wa Zamani wa Klabu ya YANGA na Simba, Ally Yusuf Maarufu Tigana Afariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Amefariki dunia leo katika hospitali ya Amana, Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua ghafla na kukimbizwa hospitali hapo. -
Mchezaji wa zamani, Lubigisa Madata Lubigisa amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kueleza kuwa Tigana amefariki baada ya kuugua ghafla, alikuwa akihara na kutapika


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad